Karibu

Triple C Advisory

KUFUNGUA MTAJI-KUCHOCHEA MABADILIKO

Sisi Ni Nani?

Triple C Advisory ni kampuni inayomilikiwa na wanawake yenye kutoa ushauri wa kijinsia na athari za utofauti, yenye makao yake Barani Afrika. Kampuni hii hutoa huduma za kuweka mikakati, ushauri wa usimamizi, na tathmini za athari kwa kutumia lenzi za kijinsia tofauti. Tunahudumu katika mataifa, biashara na jamii mbalimbali kote duniani. Tunajitahidi kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanainuka visawa katika ubora wao kwenye Biashara, jamii na katika kutunza sayari yetu. Wanachana wa Triple C Advisory pia ndio waanzilishi wa GendeRise.

Tunachokifanya

Tunahudumia Mataifa mbalimbali, Biashara, na jamii ili kusaidia kuunda ulimwengu ambao wanawake na wanaume wanashirikiana kwa pamoja ili kufanikisha biashara, jamii na hata kutunza  mazingira.Tunatoa huduma  za jinsi ya kuweka mikakati, ushauri wa usimamizi, mafunzo, tathmini ya athari mbalimbali zikiambatanishwa na mtazamo wa kiafrika kuhusu jinsia.

Huduma Zetu

Uzalishaji wa mikakati

Mikakati yetu inakumbatia mbinu ya ujumla inayoyawezesha makundi ya kikabila na kirangi yaliyotengwa.

Ushauri wa usimamizi

Tunatoa suluhisho za usimamizi kwa miradi ambayo inakubali utofauti katika timu na washikadau.

Tathmini ya athari

Tunachambua jinsi sera na juhudi zinavyowaathiri wanaume, wanawake, na utambulisho mbalimbali wa kijinsia.

Jinsi Tunavyofanya Kazi

Uadilifu

Tunaamini katika nguvu ya tofauti na ujumuishaji na tunapigania kanuni hizi ndani ya biashara yetu na katika suluhisho tunazotoa.

Ufanisi

Tunatoa kazi ya hali ya juu inayoshughulikia chanzo cha matatizo na kuendelea kuboresha.

Kuchochea Athari

Tunachochea mabadiliko endelevu yanayofanya tofauti.

Kujali

Tunaweka kipaumbele kwa usalama wa watu, hisia za kujumuishwa, kukuza vipaji na kujali mazingira yetu.

Maoni Ya Wateja Wetu

Wateja na Washirika Wetu

Jisajili Katika Jarida Letu